Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 3,018
- 9,099
- Mar 21, 2025
- #1
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye.
Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika hafla hiyo ya kifahari.
Tukio hilo limewaleta pamoja mastaa wakubwa wa Afrika, akiwemo msanii wa Nigeria, Davido, na watu mashuhuri wengine wa bara hili.
fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,700
- 5,831
- Mar 22, 2025
- #2
Sio tena habari za kustua kwa msanii kama diamond ,hizi ni habari kubwa kwa wakina harmo,kiba,jux,vanny nk, kwa sasa mond aende duniani kuparty na kina jigga
Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 317,936
- 1,200,921
- Mar 22, 2025
- #3
Sawa sawa
K
kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 8,148
- 11,533
- Mar 22, 2025
- #4
Huenda wanapeana katika ulimwengu wa roho.
Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 17,204
- 52,598
- Mar 22, 2025
- #5
Hivi Baba Levo anajua kwamba bilioni 2.7 ni sawa dollar za Marekani milioni 1.07 hivi??
Hata kama anampenda Diamond platinums kama boss wake, hii chumvi ni too much
Aseme labda analipwa dollar laki 4 ama pungufu lakini sio dollar milioni 1.07
Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,422
- 13,818
- Mar 22, 2025
- #6
Uongo mwingi sana kwa wasanii wa Tz.
Na hao machawa wao wengi ni mapunga.
Q
Quencher
JF-Expert Member
- Jun 19, 2024
- 927
- 2,728
- Mar 22, 2025
- #7
Umaskini mbaya sana
D
Don Masanja
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 885
- 819
- Mar 26, 2025
- #8
Grahams said:
Hivi Baba Levo anajua kwamba bilioni 2.7 ni sawa dollar za Marekani milioni 1.07 hivi??
Hata kama anampenda Diamond platinums kama boss wake, hii chumvi ni too much
Aseme labda analipwa dollar laki 4 ama pungufu lakini sio dollar milioni 1.07
Alilipwa usd 600,000/=
Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 17,204
- 52,598
- Mar 26, 2025
- #9
Don Masanja said:
Alilipwa usd 600,000/=
Tatizo la Wasanii wa Bongo kupenda kuongeza sifuri, yaani alifikiri dollar milioni 1.06 ni chache kiasi hicho mtu alipwe Kwa show Moja tu
By the way, hongera zake Diamond
Hata hivyo malipo ya dollar 600,000 sio haba ni zaidi ya Bilioni 1.3 hivi za Tanzania
Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 2,812
- 7,856
- Mar 26, 2025
- #10
2.7B kutumbuiza tu?? Au na tajiri nae akatumbuiza? 😂😂 maana mmmh!!
H
HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,746
- 1,590
- Mar 26, 2025
- #11
Sasa hili uliloleta linawasaidiaje waTz au kila mkiona choo au kichaka mavi yanawabana??
Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,034
- 13,150
- Mar 26, 2025
- #12
HAKI KWA WOTE said:
Sasa hili uliloleta linawasaidiaje waTz au kila mkiona choo au kichaka mavi yanawabana??
Mkuu mbona kama umevurugwa vile........ upo jukwaa la selebriti ujue😂😂😂
Ukitaka mambo ya kukusaidia nenda kapige kambi jukwaa la Kilimo, biashara na uchumi, siasa nk
Jukwaa la selebriti chit chat love connection ni majukwaa ya maskara, umbea na kupunguzia stress
L
Linho 91
JF-Expert Member
- Oct 12, 2024
- 216
- 302
- Mar 26, 2025
- #13
Fanton Mahal said:
2.7B kutumbuiza tu?? Au na tajiri nae akatumbuiza? 😂😂 maana mmmh!!
Unamaanisha kama ule upako anao toaga pafu dadi?
King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 57,332
- 81,661
- Mar 27, 2025
- #14
600k usd au 2.7B Tsh?
900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 8,939
- 10,725
- Mar 27, 2025
- #15
Waufukweni said:
Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye.
View attachment 3279128
Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika hafla hiyo ya kifahari.
View attachment 3279127
Tukio hilo limewaleta pamoja mastaa wakubwa wa Afrika, akiwemo msanii wa Nigeria, Davido, na watu mashuhuri wengine wa bara hili.
View attachment 3279130
labda mtuambie peza zote hizo zinajumuisha na huduma ya u-pididy
You must log in or register to reply here.